Quantcast
Channel: AutomobileHeat » generator
Browsing all 1687 articles
Browse latest View live

Kutoka Bungeni: Serikali Kujenga Vyuo Vya VETA kila Wilaya

Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi  inatarajia kujenga Vyuo vya Ufundi (VETA) kwa kila wilaya ili kutoa fursa kwa wananchi wengi hususani vijana kupata mafunzo mbalimbali ya...

View Article


Diwani Wa CUF Auawa Kwa Kucharangwa Mapanga Na Watu Wasiojulikana

Diwani wa kata ya Kimwani iliyoko Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera, Silvester Miga (CUF) amepoteza maisha baada ya kuvamiwa na kukatwa na mapanga nyumbani kwake, usiku wa kuamkia jana. Kamanda wa Polisi...

View Article


Afande Sele Atoa Wosia….Asema Akifa Achomwe Moto Badala ya Kuzikwa

Msanii Afande Sele ambaye anawakilisha mkoa wa Morogoro katika muziki amefunguka na kusema kuwa hataki kuja kuwa binadamu tena bali anahitaji kuwa Malaika. Afande Selle alisema hayo kupitia kipindi...

View Article

CRDB Yawatoa Hofu Wateja Wake Baada Ya Serikali Kuagiza Akaunti za Taasisi...

(Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu serikali kuhamishia akaunti zote za mapato Benki Kuu. Kulia ni Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Mugabe bila woga kaeleza yote aliyoambiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete...

Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa  Zimbabwe   Robert Mugabe  kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa  Ethiopia  ni kauli anayodai aliambiwa na Rais mstaafu wa Tanzania  Jakaya Kikwete...

View Article


Tamko La Serikali Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini

 Tamko Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini Lililotolewa Na Mhe. Ummy Mwalimu (mb); Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto, Tarehe 1 Februari 2016 Ndugu Waandishi wa...

View Article

Bungeni: Serikali Kuajiri Vijana 71,408 Mwaka Huu…….Halmashauri Zaagizwa...

Serikali katika mwaka wa fedha 2016/2017 imepanga kuongeza ajira kwa vijana ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania kwa kuongeza ajira na kuwezesha wengine...

View Article

Bungeni: Mbunge Magdalena Sakaya Aituhumu Serikali Kuwa Chanzo Cha Ukosefu Wa...

Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora Magdalena Sakaya CUF amesema tatizo kubwa la ajira nchi hii linachangiwa na serikali yenyewe. Magdalena ameyasema hayo wakati akichangia mpango wa serikali kwa...

View Article


Bungeni: Serikali Kuimarisha Miundombinu Kuboresha Utalii Nchini.

Serikali imejipanga kuimarisha miundombinu inayoelekea kwenye mbuga za wanyama na vituo vingine vya utalii nchini ili kuboresha utalii wa ndani na wa nje ya nchi kwa kujenga barabara ili kuwezesha...

View Article


BAKWATA Waunga Mkono Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

WAKATI Chama  cha wananchi CUF ambacho ni chama kikuu cha Upinzani visiwani Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20 ya mwaka huu,Baraza la Waislam  (BAKWATA)  limesema...

View Article

Polisi Yapiga Marufuku maandamano ya vijana wa Chadema kwenda Ikulu Kesho

Jeshi la Polisi limetoa tamko kuhusu tangazo la Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kuwa kesho wamepanga kufanya maandamano hadi Ikulu kwa lengo la kuishinikiza serikali kubadili msimamo wake kuhusu...

View Article

Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Februari 3

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Bei ya Mafuta Yashuka Tena

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita....

View Article


Kaya 50 karibu na ghorofa 16 eneo la Indira Ghandi zapewa siku 3 kupisha...

Zaidi ya kaya 50 zinazoishi kuzunguka jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gadhi katikati ya jiji ambalo linatakiwa kubomolewa zimepewa siku tatu ziwe zimeondoka kwa muda ili kupisha zoezi hilo...

View Article

Jela miaka 5 kwa kusafirisha Wahamiaji Haramu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imewahukumu kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh milioni 1.5 kila mmoja, dereva Hansi Mwakyoma (28) na utingo wake, Alex Adam (32) baada ya kukamatwa...

View Article


Wabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli,...

Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa...

View Article

Article: Re-assess Policy on Private Sector Education

The on-going rift between the Government of Tanzania and owners of private schools over the government’s decision to regulate and dictate tuition and other  fees charged by private schools in the...

View Article


Polisi Kudhibiti Uporaji Wa Fedha Kwenye Mabenk

(Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO) Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Jeshi la Polisi imejipanga kudhibiti uhalifu unaofanywa na na baadhi watu kwa kupora fedha za wafanyabiashara au watu binafsi...

View Article

Viongozi wa Dini Wazidi Kutofautiana Kuhusu Sakata La Zanzibar…….Sheikh Ponda...

Mgogoro kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi viswani Zanzibar unazidi kupasua nchi, sasa viongozi wa Dini ya Kiislam wametofautiana. Ikiwa ni siku moja baada ya Alhad Mussa Salum ambaye ni Sheikh Mkuu wa Dar...

View Article

LHRC Wamtaka Mwenyekiti wa ZEC Kujiuzulu Mara Moja……Chama cha CCK Chamvua...

Kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC kimemtaka Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar  Jecha Salum Jecha  ajiuzulu wadhifa huo kutokana na hatua aliyochukuwa ya kufuta uchaguzi na kutangaza...

View Article
Browsing all 1687 articles
Browse latest View live