Quantcast
Channel: AutomobileHeat » generator

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujambazi Dar, 63 wamekamatwa na silaha zao ndani ya siku 7

 leo April 8 2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kupitia kwa Kamishna Simon Sirro , limetangaza kuwakamata majambazi  63 wa matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha katika oparesheni...

View Article


Ridhiwani Kikwete Akana kufanya biashara na Kampuni Ya Lugumi Inayotuhumiwa...

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi, inayodaiwa kupewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga wameimaliza Mwadui FC wanaisubiri Mtibwa Sugar mchezo wa kiporo

April 13 klabu ya  Dar es Salaam Young Africans  iliendelea na harakati zake za kumaliza viporo vya mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara, klabu ya  Yanga  ilikuwa na viporo vitatu ila April 13 2016...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 13 2016 kwenye,Udaku, Hardnews...

[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco...

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),  William Mhando , mke wake  Eva Mhando,  walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na...

View Article


NMB yatoa neema kwa Hospitali na vituo vya Afya Nchini

Benki ya NMB leo imesaini makubaliano na shirika lisilo la kiserikali la STICHTING MEDICAL CREDIT FUND (MCF) la nchini Uholanzi kwaajili ya kutoa fursa za mikopo nafuu kwa hospitali, vituo vya Afya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha 5: Aliyemtukana Rais magufuli facebook kafikishwa mahakamani leo

Kwa taarifa zaidi kuhusu kijana aliyemtukana Rais Magufuli  facebook kufikishwa mahakamani, Mwanasheria mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’, Johanes Karungula . Mtuhumiwa  . [via...

View Article

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein...

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA 5: Imenifikia taarifa ya Gari kuzama Baharini April 20 2016

February 2016 iliripotiwa ripoti ya kuzima injini ya Pantoni na kuleta tafrani kwa abiria, sasa ni takribani miezi miwili tangu tukio hilo litokee. Daraja la Nyerere ‘Kigamboni’ lililozinduliwa jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHAZ 8: Mafuriko kijiji cha Changalawe Mikumi yamemfanya Prof Jay kwenda...

Mbunge wa Jimbo la  Mikumi   Joseph Haule  a.ka  Profesa Jay  April 25 2016 siku moja baada ya kupeleka msaada wa mabomba  Ruaha  amelazimika kwenda kuwatembelea wanakijiji wa Changalawe kata ya...

View Article