Jecha wa ZEC Atoka Mafichoni…..Dk. Shein Asisitiza Uchaguzi Lazima Urudiwe...
Hatimaye Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana ameonekana hadharani katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini...
View ArticleNdoa Ya Wastara Bond Nusu Afe!
Staa wa filamu, Wastara Juma na Mumewe Sadifa Juma. DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu staa wa filamu, Wastara Juma kufunga ndoa na Mbunge wa Jimbo la Donge, Zanzibar, Sadifa Juma...
View ArticleMashabiki wa soka Ujerumani wamempigia kura Ozil na kushinda tuzo hii kwa...
January 14 tovuti ya timu ya taifa ya Ujerumani imetangaza jina la mchezaji bora wa kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani kwa mwaka 2015, tovuti hiyo imetangaza jina hilo la mchezaji bora wa mwaka...
View ArticleTazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu...
View ArticleSerikali yatoa tamko kuhusu tiba asili na tiba mbadala
Ndugu Wananchi, Katika nchi yoyote ile uhuru usio na mipaka ni jambo la hatari; lakini pia hakuna haki isiyo na wajibu. Vivyo hivyo, katika huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala hapa nchini kuna...
View ArticleSerikali Yacharuka…..Yamfungulia Mashitaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Six...
MKURUGENZI wa Kampuni ya Six Telecoms, Hafidh Shamte na wafanyakazi wengine watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa k...
View ArticleBunge La Tanzania Lafumuliwa Upya…..Hapa Kuna Taarifa Ya Bunge Kuhusu...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MABADILIKO YA MUUNDO WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ____________________ Kamati ya Kanuni ya Bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
View ArticleWaziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye Aruhusiwa Kutoka Hospitali
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoko Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani. Ofisa Uhusiano...
View ArticleTanzania Yachafuliwa Burundi…….Yatuhumiwa Kupitisha Silaha Bandarini Dar es...
RAIS Dk. John Magufuli ameombwa kuzuia upitishwaji wa silaha za kivita zinazodaiwa kupitishwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchini Burundi. Ombi hilo lilitolewa mjini hapa jana na vyama sita...
View ArticleSerikali Yazifunga Redio 28 Kwa Kushindwa Kulipa Ada ya Leseni
Serikali imezifungia redio 28 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa kulipa ada za leseni na kutimiza masharti yaliyowekwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Akizungumza jana jijini...
View ArticleRais Magufuli AMFUKUZA Kazi Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Kwa Utovu wa Nidhamu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faisal Issa kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliouonesha...
View ArticleDr. Mahiga bids farewell to Two African Ambassadors
Minister of Foreign Affairs, East Africa, Regional and International Cooperation, Hon. Dr. Augustine Mahiga (R) is in the conversation with the Namibian Ambassador to Tanzania, H.E Japhet Isaack whose...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 5: Choosing a Motor Controller
Now that the general shape, the actuators (or motors) and the brain for the robot have been chosen, it is time to make things move. The first question many beginners have when building their first...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 7: Using Sensors
Unlike humans, robots are not limited to just sight, sound, touch, smell and taste. Robots use a variety of different electromechanical sensors to explore and understand their environment and...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 10: Programming Your Robot
Programming is usually the final step involved in building a robot. If you followed the lessons, so far you have chosen the actuators, electronics, sensors and more, and have assembled the robot so it...
View ArticleHow to Make a Robot – Lesson 9: Assembling a Robot
Now that you have chosen all the basic building blocks used to make a robot, the next step is to design and build a structure or frame which keeps them all together and gives your robot a distinct...
View ArticleKiwanda cha Sukari cha Mtibwa Chapigwa Faini Ya Milioni 50
Serikali imetoa siku saba kwa kiwanda cha sukari cha Mtibwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya kudaiwa kukiuka sheria za mazingira. Baadhiya mambo yaliyobainika ni kukosa mfumo mzuri wa...
View ArticleIsrael yachukizwa na kuondolewa kwa vikwazo
Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amesema Iran ingali na azma ya kuunda zana za Nuklia na mjini Washington spika wa Paul Ryan wa chama cha Republican, amesema Taifa la Iran...
View ArticleMume wa Celine Dion afariki dunia
Rene Angelil alihudumu kama meneja wa Celine Dion hadi 2014 Rene Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73, mwanamuziki huyo ametangaza. Bw...
View ArticleSimba wa kushangaza aliyeuawa Marekani
Simba huyo alikuwa pia na masharubu ya ziada Simba wa milimani aliyeuawa katika jimbo la Idaho, nchini Marekani ameshangaza wengi kutokana na hali kwamba alikuwa na meno ya ziada kichwani. Meno hayo...
View Article