Ghana yazindua gari lake
Wakati unapoangazia swala la utengezaji magari mataifa ya Afrika kwa kawaida hayaorodheshwi katika swala hilo. Lakini hilo sasa huenda likabadilika kufuatia kuwasili kwa kampuni ya magari ya Ghana...
View ArticleWind Variability
One of the most critical features of wind generation is the variability of wind. Wind speeds vary with time of day, time of year, height above ground, and location on the earth’s surface. This makes...
View ArticleJoule’s Law of Heating
We know about the heating effect of current, when it flows through a circuit due to collision between electrons and atoms of wire. But precisely how much heat is generated during current flow through...
View ArticleFamilia Yampa ONYO Rose Ndauka
Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni amewekwa chini na familia yake na kupewa onyo kuhusu wanaume pamoja na maadili. Kwa mujibu wa chanzo, Rose aliambiwa maneno mengi na familia yake...
View ArticleDavido atoa uthibitisho mwingine kuwa hakuna ‘beef’ kati yake na Diamond
Bado una wasiwasi juu ya maelewano kati ya muimbaji wa Nigeria, Davido na Diamond? Pamoja na Diamond kujibu kwenye Interview mbalimbali kuwa hawana tatizo, Davido naye ametoa uthibitisho mwingine kuwa...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kisu Wakigombea Mwanamke
WATU watatu wamekufa katika matukio matatu tofauti katika Wilaya za Tarime na Rorya akiwemo mtu aliyeuawa wakati wanagombania mwanamke. Waliokufa ni Chacha Mwita (24) aliyechomwa kisu kifuani na...
View ArticleNyumba ya mwandishi wa Nyerere yauzwa kinyemela
Dar es Salaam. Nyumba ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Mwalimu Julius Nyerere, Paul Sozigwa imeuzwa katika mazingira ya kutatanisha na mke wake Monica Kuga baada ya mwanahabari huyo kupata maradhi...
View ArticleNyota ya Diamond Platnumz Inazidi Kung’ara…….Katajwa Kuwania Tuzo za Uganda...
Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika. Akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo...
View ArticleNyumba ya Jay Dee yapigwa mnada
Kampuni ya udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers inapiga mnada wa nyumba ya mwanamuziki nyota wa bongo fleva, Lady Jay Dee, baada ya kushindwa kulipa deni alilokopa kutoka taasisi ya fedha ya...
View ArticleWarioba: CCM ina kazi ngumu kumpata mgombea urais
Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema CCM inakabiliwa na kazi ngumu ya kupata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwaka huu, akionya...
View ArticleDr Shein Apitishwa Kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM.
Kamati kuu maalum ya chama cha mapinduzi Zanzibar kwa kauli moja imempitisha Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya wajumbe wa...
View ArticleSoko la hisa China kuwatisha Wawekezaji
Licha ya hatua ya serikari kuyachepua masoko ya fedha katika siku za hivi karibuni, hali ya wasiwasi imezuka kwa wawekezaji nchini China kutokana na kushuka kwa hisa kwa masoko ya fedha nchini humo....
View ArticleBi Hindu Awa kiongozi Simba
Mtangazaji wa 100.5 Times fm Bi Chuma Suleimani a/k/a Bi Hindu ameteuliwa kuwa Mwanamke pekee katika Baraza jipya la wazee la klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC lililotangazwa na kamati ya utendaji...
View ArticleWikileaks:Marekani iliichunguza Brazil
Mtandao wa Wikileaks umesema kuwa una ushahidi kwamba baadhi ya maafisa wakuu wa taifa la Brazil walipelelezwa mara kadhaa na idara ya ujasusi nchini Marekani NSA. Habari hizo zinasema kuwa Idara hiyo...
View ArticleMlipuko wawaua watu 11 Baghdad
Mashambulizi ya mabomu yamewaua takriban watu 11 katika wilaya zenye washia wengi kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad. Magari yaliyokuwa yametegwa mabomu yalilipuka wakati watu walipokuwa wakifungua siku...
View ArticlePower Circuit of a single (1) Phase Direct On Line DOL Electric Motor...
Further to the previously discussed electric motor controller with a three (3) phase Direct On Line (DOL) power circuit is the application of similar DOL power circuit for a single (1) phase small...
View ArticleMbunge Wa CHADEMA Ajivua Uanachama……Asema Kama CHADEMA Wanaubavu Wakalikomboe...
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini...
View ArticleUKAWA Wajitoa Rasmi Bungeni….Waondoka Mjini Dodoma
UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma...
View ArticlePolisi: Msiokuwa na shughuli maalumu msije Dodoma
Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amewataka wageni wasiokuwa na shughuli muhimu ya kufanya mkoani hapa kutokuja katika kipindi cha juma hili ili kuepusha usumbufu utakaojitokeza....
View ArticleAficha Mwili wa Marehemu ndani kwa Siku sita bila watu kufahamu
Mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Biti Karo Mkazi wa Mkuranga, Kimanzichana Mtaa wa Makonde amefanya tukio la ajabu na la kushanga kwa jamii, mara baada ya kukaa na mwili wa marehemu Mama yake kwa...
View Article