Serikali Yazungumzia Tishio la Marekani Kusitisha Misaada Tanzania
Serikali imezungumzia tishio la Serikali ya Marekani la kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kukamatwa kwa maofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za...
View ArticleJPM aweka rekodi ya siku 25 ya mawaziri
Dar es Salaam. Rais John Pombe Magufuli amekuwa wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi kuanza nchini kutumia muda mrefu kutangaza Baraza la Mawazi kutokana na kile wasomi, wachambuzi wa siasa kusema...
View ArticleKasongo Mpinda ‘Clayton’ afariki dunia
King Kiki (kulia) akiimba sambamba na Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ enzi za uhai wake. Aboubakar Kasongo Mpinda ‘Clayton’ akiwa na Issa Nundu (kulia). Habari zilizoufikia mtandao huu jana jioni...
View ArticleBreaking News: Waziri Mkuu Afanya Tena Ziara ya Kushtukiza Bandarini na...
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amefanya tena ziara ya kushtukiza bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL). Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya...
View ArticleProf. Lipumba na wafuasi wake 30 Waachiwa Huru na Mahakama Ya Kisutu
PROF. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ameachiwa huru na mahakama ya Hakim Mkazi, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashitaka ya Jinai nchini (DPP), imewasilisha...
View ArticleCHADEMA Wasema Magufuli Anatekeleza Sera za Wapinzani
Wakati Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli akionekana kuteka hisia za Watanzania wengi, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakishtushwi kwani amekuwa akitumia hoja,...
View ArticleAfisa Ardhi Morogoro Kapewa Siku 14 Za Kujieleza Kwa Nini Asifukuzwe Kazi
Katibu mkuu ofisi ya Waziri mkuu (TAMISEMI) Jumanne Sagini ametoa siku 14 kwa afisa ardhi, mhandisi wa majengo na Afisa mipango miji manispaa ya Morogoro kuandika maelezo ya kwanini wasifukuzwe kazi...
View ArticleRais Dkt. Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepa kodi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amewapa siku saba kuanzia tarehe 03/12/2015 wafanyabiashara wote ambao waliingiza mizigo yao bila kulipa kodi wakalipe kwani baada ya...
View ArticleMwanasheria Mkuu Awakana Wakuu Wa Mikoa Wanaositisha Likizo Za Watumishi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju amezungumzia suala la wakuu wa mikoa kutoa matamko ya kusitisha likizo za watumishi wa umma kwa kuwataka wafanye kazi tu. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
View ArticleTaarifa Kwa Umma Toka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
[via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleSpika Ndugai aongoza maelfu kuuaga mwili wa Mkurugenzi wa Bunge
Marehemu Hellen Stephen Mbebha wakati wa uhai wake. Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) akiweka shada la maua juu ya kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi Shughuli za Bunge Marehem...
View ArticleSerikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Uvuvi
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na uvuvi Bi Judith Mhina akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu mradi wa udhibiti wa uvuvi na maendeleo shirikishi...
View ArticleObama: "sababu za shambulizi bado hazijajulikana"
Na RFI Rais wa Marekani Barack Obama amesema Alhamisi hii kuwa sababu za wahusika wa shambulizi lililogharimu maisha ya watu wengi katika kaunti ya San Bernardino (California) Jumatano usiku wiki hii...
View ArticleStatement by Ambassador Ramadhan Mwinyi on Culture of Peace
The General Assembly met on Thursday to consider a report of the Secretary – General on the Culture of Peace. The following is the statement delivered by H.E Ambassador Ramadhan Mwinyi,...
View Article7 steps to proper maintenance of diesel generators
Diesel generator can run for long hours continuously as a power supply source and also as a standby or during emergency power needs. They require less maintenance due to their durability, reliability...
View ArticleImplementing a Standby Generator Maintenance Program for Diesel Engines
Today’s electrical grid delivers reliable electricity to millions of homes and businesses. However, electrical failures that affect large geographic areas do happen on a recurring basis due to...
View ArticleWhat is Distortion Meter?
Harmonic distortion Harmonic distortion is the distortion in our signal that is produced by the additional frequencies generated in the signal. These frequencies are nothing but multiples of the...
View ArticleHow to Use a Capacitance meter?
What is a Capacitor? A capacitor is a bi terminal charge storing device which stores the electric charge between its two conducting plates which are separated by a resistance. This is the basic intro...
View ArticleMeasuring current with ammeters
What is an Ammeter? The first question that needs to be answered according to rules before formally telling about the various functions of the device is that what it is basically used for. So an...
View ArticleWhat’s the difference between Electrical & Electronics Engineering?
These are very different areas of engineering discipline which are easily confused and hard to differentiate. This is because they both involve the intensive application and transfer of electricity...
View Article