Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye
Odom akiichezea La Clippers Mchezaji wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani Lamar Odom hatimaye amepata fahamu siku tatu baada kuzirai ndani ya danguro katika jimbo la Nevada....
View ArticleGas recreational safety
Camping appliances need air. In New Zealand the majority of deaths associated with the use of camping appliances have been attributed to carbon monoxide poisoning. Without proper ventilation, stoves,...
View ArticleGas safety for caravans and motorhomes
LPG installations in caravans and motorhomes All gasfitting work on a caravan must be carried out by an authorised person (usually a licensed gasfitter). All new gasfitting (including alterations)...
View ArticleCamping appliance safety
Carbon monoxide poisoning Camping appliances need air. In New Zealand, the majority of deaths associated with the use of camping appliances have been attributed to carbon monoxide (CO) poisoning....
View ArticleThree Gorges Dam: The world’s largest hydroelectric plant
In 2012, the Three Gorges Dam in China took over the #1 spot of the largest hydroelectric dam (in electricity production), replacing the Itaipú hydroelectric power plant in Brazil and Paraguay. The...
View ArticleHack a Mousetrap with a 433MHz RF Module
Introduction Let’s make a mouse trap surveillance system! In Autumn, the rats and mice that had been active outside during the warmer months tend to come inside our houses and do a lot of expensive...
View Article4 Things Makers Can Learn from the Volkswagen Scandal
Important lessons from a massive mistake. If you’ve somehow managed to avoid the catastrophic and ongoing demise of Volkswagen in its emission scandal, here’s a rundown : the massive car manufacturer...
View ArticleMake a BLE Temperature Sensor with the nRF51
How to create a BLE temp sensor using the nRF51. Overview This is part of a series of articles on the nRF51. The nRF51 is a system-on-chip with a Cortex M0 and a BLE radio chip all in one. This...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda Awataka Watanzania Wamsamehe Kwa Matamshi...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, jana alitumia Ibada ya Shukrani iliyofanyika katika Parokia ya Hananasifu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kumshukuru Mungu kwa kumwezesha kulitumikia Taifa kwa zaidi...
View ArticleMwigulu Nchemba Amshambulia Lowassa Kuhusu Afya Yake…..Adai Mwalimu Nyerere...
Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea. A kiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza...
View ArticleMasogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini
Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo...
View ArticleHukumu Ya Sheikh Issa Ponda Yaahirishwa Hadi Novemba 18
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Morogoro, leo imeahirisha kutoa hukumu katika kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda. Hukumu hiyo...
View ArticlePicha za Mkutano wa Kihistoria Wa LOWASSA jana Jijini Mbeya……Ilikuwa ni Zaidi...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu”,...
View ArticleMbowe Afichua Njama Za CCM Kuiba Kura Usiku wa Tarehe 24
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema wamegundua njama za kuiba kura zitakazofanywa na CCM usiku wa tarehe 24 kwa kupita mitaani na kugawa fedha za kura feki. Mbowe alitoa kauli hiyo jana...
View ArticleMagufuli Aponda Ahadi Ya Lowassa Kufuta Umasikini Ndani Ya Siku...
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kujipanga kufanya kazi kwa sababu Serikali yake haitavumilia watu wavivu. Akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Shule ya Msingi...
View ArticleThe Final goodbye to Dkt Emmanuel Makaidi ……..Lowassa Leads the Mourners
Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, katika viwanja vya Karimjee, posta, jijini Dar Es Salaam. Dr. Makaidi Amezikwa...
View ArticleTCRA Yatoa Onyo Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Kutangaza Matokeo
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu. Mbele ya wanahabari jana jijini...
View ArticleKada Mwingine Aihama CCM Dakika Za Lala Salama
Zikiwa zimebaki siku 5 kabla ya Oktoba 25, siku ambayo watanzania wataandika historia ya kuiweka madarakani serikali mpya ya awamu ya Tano, kada mwingine Mkongwe wa Chama hicho, ametangaza rasmi...
View ArticleRais Kikwete akumbushwa kutangaza mali alizochuma kabla ya kung’atuka
Mkurugenzi wa Idara ya Utetezi na Maboresho kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Harold Sungusia, amemkumbusha Rais Jakaya Kikwete, asiondoke kimyakimya bila kutangaza au kuorodhesha...
View ArticleMAGUFULI: Mabadiliko Ya Kweli Hayawezi Kuletwa Kwa Kuzungusha Mikono
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa kwa kuzungusha mikono, bali yatakuja kwa kufanya kazi. Kutokana na hali hiyo, amesema yeye...
View Article