NCHI YA AHADI KALA JEREMIAH ft ROMA officialvideo
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleShilole Malele Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUse an Arduino to Control a Motor
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleUsing the Arduino’s Analog I O 2
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleVideo ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mi…
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleYamoto Band Nisambazie Raha Official Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMatonya Feat Rich Mavoko Mule Mule Official Music Video
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleEgypt vs Tanzania 3 0 All Goals and Highlights 14 6 2015
FOLLOW INSTAGRAM@sosteneslekule [via LEKULE] Follow us @automobileheat – lists / @sectorheat
View ArticleMwandosya: Lowassa Asisite Kuniunga Mkono
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amemuomba mgombea mwenzake katika kinyang’anyiro cha kutafuta ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea kupitia CCM, Edward Lowassa asisite...
View ArticleRisasi Zarindima Vituo Vya BVR Arusha, Godbless Lema Atiwa Mbaroni
MILIO ya risasi ilisikika katika vituo vya uandikishaji kura katika kata ya Sokoni One jijini hapa, baada ya kuibuka kwa vurugu zilizohusisha vijana wa Chadema na wenzao wa CCM, chanzo kikitajwa madai...
View ArticleSerikali Kushusha Ushuru wa Mafuta leo?
SERIKALI leo inatazamiwa kujibu hoja mbalimbali zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16. Mbali na Wizara ya Fedha ambayo itakuwa na mengi ya kufafanua au...
View ArticleKesi ya Askari Polisi Kuiba silaha, Risasi Yaahirishwa
KESI ya wizi wa silaha aina ya SMG na risasi zake 42 inayomkabili aliyekuwa Konstebo wa Polisi, GX 7274, Hamad Taimu Shilingi (25) katika Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeahirishwa...
View ArticleNape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono
Sengerema. CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema...
View ArticleKarenzi Karake akamatwa Heathrow
Mkuu wa upelelezi nchini Rwanda,ambaye alikuwa anasakwa nchini Hispania kwa makosa ya uhalifu wa kivita,sasa amekamatwa mjini London. Kitengo cha habari cha BBC cha BBC Newsnight, kimegundua kwamba...
View Articlewatu ishirini wafariki dunia Nigeria
Watu ishirini wamefariki dunia kutokana na shambulio la kujitoa muhanga katika soko la wachuuzi wa samaki lililokuwa limefurika watu eneo la Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Watu wengi walikuwa...
View ArticleBurundi kuendelea na ratiba ya uchaguzi
Serikali ya Burundi imesema haitashiriki katika mazungumzo yaliyodhaminiwa na Umoja wa Mataifa yakilenga kupunguza hali ya uhasama uliopo kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wenye utata. Waziri wa mambo...
View ArticleChadema yaibwaga CCM kesi za uchaguzi
MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora juzi ilitupilia mbali kesi tano zilizokuwa zimefunguliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi...
View ArticleWananchi wala ubuyu kutokana na njaa-Manyoni
MBUNGE wa Manyoni Mashariki, Kapteni John Chiligati, amesema baadhi ya wananchi jimboni kwake wameanza kula ubuyu kutokana na kukabiliwa na tatizo la njaa. Katika swali lake bungeni jana, Mbunge huyo...
View ArticleSerikali Yaondoa Muswada Kandamizi wa Habari
HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa bungeni Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa Habari wa mwaka 2015. Muswada huo, ambao unapingwa na wadau wa habari, ulikuwa usomwe leo bungeni kwa mara ya pili na...
View ArticleMwakyembe, Jaji Ramadhani wagongana Tanga
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe na Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani, jana walikuwa mkoani Tanga kwa ajili ya kusaka wadhamini ili waweze kukamilisha sharti la kuomba ridhaa...
View Article